Kiungo Mghana Atakayeziba ‘Pengo’ la Mkude Alitua Jana, Kumalizana na Simba Leo
DAR ES SALAAM: Kiungo ambaye ni raia wa Ghana anayeaminika kuwa amekuja atajiunga na Klabu ya Simba yenye makao yake makuu kunako Mtaa wa Msimbazi jijini Dar, kuziba nafasi ya Jonas Mkude, ametua jana Desemba 7, 2016 hapa nchini akitokea…
