Zaidi ya Abiria 50 Watekwa Nyara na Majambazi
Zaidi ya abiria 50 wametekwa nyara na watu waliojihami kwa silaha nzito za kivita katika Jimbo la Sokoto nchini Nigeria. Mamlaka za usalama katika Jimbo la Sokoto, wamethibitisha kutokea kwa tukio hilo, lililotokea Jumapili ya Julai 25,…
