MJI mkuu wa Ukraine usiku wa kuamkia leo Aprili 29, 2022 umetikiswa na mashambulio makali yaliyofanywa na majeshi ya Urusi...
Wakazi wa Kyiv wa rika zote – watu wazima na watoto – walielekea tena chini ya ardhi jana usiku...