Mkuu Kitengo Tehama Global Group Auacha Ukapera
MKUU wa kitengo cha Tehama cha Kampuni ya Global Publishers, Edwin Lindege, ameuacha ukapera baada ya kufunga pingu za maisha na mkewe, Litha Mwinuka, katika kanisa la Mwangika, Sengerema mkoani…
