The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

LISSU

Hatima ya Ubunge wa Tundu Lissu

MAHAKAMA Kuu kesho itaanza kusikiliza maombi ya aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, kumruhusu kwenda Mahakama ya Rufani kupinga uamuzi wa Spika wa Bunge, Jobu Ndugai, kumvua nafasi ya ubunge wa jimbo hilo. …

Lissu Asisitiza Kugombea Urais

MWANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amesisitiza nia yake ya kugombea urais, iwapo atapata wito kutoka kwa wananchi na chama chake kugombea nafasi hiyo. Akizungumza na VoA nchini Marekani, alisema:…

Lissu Asogeza Mbele Tarehe Kurejea

ALIYEKUWA Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amesema hatarejea Tanzania Septemba 7, 2019,  kama ilivyopangwa badala yake atasubiri ruhusa ya madaktari wanaomtibu. Lissu ametoa kauli hiyo jana Jumanne Septemba 3, 2019, …