Mawakili 15 wa Serikali Wamkabili Lissu Mahakamani
MAWAKILI wa Serikali 15 wakiongozwa na Wakili Mkuu wa Serikali, Dk. Clement Mashamba wamewasilisha pingamizi katika Mahakama Kuu kupinga maombi ya aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kuhusu Ubunge wake.
Lissu amefunguka…
