Polisi Watoa Kauli Kuwaachilia Lissu, Mbowe Na Wengine – Video
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limethibitisha kuwashikilia na kuwahoji viongozi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wapatao 520 na kuwaachia huru baadhi yao kwa dhamana.
Aidha Jeshi la Polisi limesema wale ambao…
