MAKONTENA YA MAKONDA YAIBUA GHOROFA ZA LUGUMI
DAR ES SALAAM: Kufuatia kushindwa kununuliwa kwa makontena 20 yanayotajwa kuwa ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ambayo yanapigwa mnada na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa mara ya pili, hali hiyo imeibua gumzo baada ya…
