×

Tag: Lulu Diva

LULU DIVA ACHOMOA KUZAA, KUTELEKEZA MTOTO

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amefunguka kuwa madai ya kuzaa mtoto na kumtelekeza kijijini kwao ni ya...

READ MORE

Lulu Diva Ampa Dongo Dada’ke

BAADA ya kudaiwa kukwapua bwana wa dada’ke aitwaye Mamuu, sistaduu wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amemtupia dongo dada...

READ MORE

LULU DIVA AFANYA ‘BETHDEI’ KWA DUA

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amesema kuwa aliamua kufanya ‘bethdei’ yake kwa kuomba dua tu kwa sababu...

READ MORE

Lulu Diva afunguka kumtambulisha mchumba’ke!

DAR ES SALAAM: Sexy lady kwenye Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amefunguka juu ya kumtambulisha mwanaume ambaye yupo naye...

READ MORE

Mama: Lulu Diva Alipenda Sana Kula Kuliko Kusoma

IMEFICHUKA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mama wa mwanamuziki Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ kufunguka siri ambayo hajawahi kuisema popote, kwamba...

READ MORE

Lulu Diva Afungukia Kufulia

  BAADA ya kudaiwa kwamba kwa sasa amefulia ndiyo maana hata mbwembwe zake hazisikiki tena mjini, mwanamuziki wa Bongo Fleva,...

READ MORE

TOP 5 MASTAA WAKIKE WANAOKIMBIZA BONGO FLEVANI

BONGO kwa sasa kuna wanamuziki wa kike wengi ambao kazi zao zinafika mbali na wanafanya vizuri, hii chini ni Top...

READ MORE

LULU DIVA KUFUNGUA KITUO CHA WATOTO YATIMA

  BAADA ya Muziki wa Bongo Fleva kuonekana kumuendea sawa, hitmaker wa Ngoma ya Ona aliomshirikisha Rich Mavoko, Lulu Abbas...

READ MORE

LULU DIVA: PENZI LANGU NA MAVOKO HALIKATISHWI NA WCB

MWANAMUZIKI wa kike anayekuja kwa kasi kwenye anga ya Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amefunguka kuwa kuondoka kwa mpenzi...

READ MORE

Lulu Diva Amwaga Minoti Harusi ya Zabibu Kiba -Video

 MSANII Lulu Abass ‘Lulu Diva’ ambaye kwa sasa anakimbiza kwenye gemu la Bongo Fleva na Wimbo wa Ona ambao...

READ MORE

LULU DIVA HATAKI KUSIKIA ALIKOTOKA

MWANADADA Lulu Abass ‘Lulu Diva’ ambaye kwa sasa anakimbiza kwenye gemu la Bongo Fleva na Wimbo wa Ona ambao amemshirikisha...

READ MORE

Diva Awananga Wanaume Aliowahi Kuwa Nao Kwenye Mahusiano

  MTANGAZAJI  wa kituo cha redio cha Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Divatheebawse’,  amewarushia madongo wanaume ambao amewahi kuwa nao kwenye...

READ MORE

LULU DIVA ADAIWA KUTOKA NA BILL NAS

HITMAKER wa Ngoma ya Ona, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ anadaiwa kutoka kimapenzi na msanii mwenzake, William Lyimo ‘Bill Nas’. Kwa...

READ MORE

Lulu Diva: Mavoko Hawezi Kunivunjia Swaumu Yangu

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amefunguka kuwa penzi lake na msanii Richard Martin ‘Mavoko’ haliwezi kutengua swaumu...

READ MORE

PENZI LA MAVOKO LAMTOKEA PUANI LULU DIVA

DAR ES SALAAM: Muigizaji wa kitambo kidogo kwenye filamu ambaye hivi sasa ni mtangazaji wa Redio Times, Ummy Wenslaus ‘Dokii’...

READ MORE

Lulu Diva Aanika Siri Uhusiano na Rich Mavoko

  BAADA ya tetesi kusambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, kwamba mwanamuziki Lulu Abbas ‘Lulu Diva’, anatoka kimapenzi na mwanamuziki...

READ MORE

Lulu Diva Ft Rich Mavoko – Ona (Official Video)

Msanii wa muziki Bongo, Lulu Diva ameachia ngoma mpya ‘Ona’ ambayo amemshirikisha Rich Mavoko

READ MORE

Lulu Diva Avunja Ukimya, Nampenda Rich Mavoko – Video

Msanii wa Bongo Fleva, Lulu Diva, amefungukia ishu ya inayodaiwa kuwa anatoka kimapenzi na mwanamuziki wa WCB, Rich Mavoko. Lulu...

READ MORE

Lulu Diva Adondosha Chozi Mbele ya Madenti

MWANA-MUZIKI Lulu Abass ‘Lulu Diva’ hivi karibuni alidondosha chozi mbele ya wanafunzi wa Shule ya Lord Baden iliyopo Bunju jijini...

READ MORE

Lulu Diva – Homa (Official Video)

Msanii wa muziki Bongo, Lulu Diva ameachia video ya wimbo wake unaokwenda kwa jina la Homa, video imeongozwa na Nisher....

READ MORE

LULU DIVA ADAIWA KATUPIWA JINNI

JAMANI wapenda ubuyu mtamu mpo? Basi kwa taarifa yenu ubuyu wa motomoto Pasaka hii unamhusu mwanamuziki wa kike anayefanya poa...

READ MORE

LULU DIVA ETI HAJUI MUZIKI? MSIKIE!

MWANADADA anayetamba kwa sasa na ngoma ya Homa, Lulu Diva, amefunguka kwamba ingawa kuna baadhi ya watu wanadai kwamba hajui...

READ MORE

Download Audio: Lulu Diva – HOMA

MWANAMUZIKI wa kike anayekuja kwa kasi Bongo, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ ameachia ngoma yake mpya ya Homa kuisikiliza bonyeza hapa...

READ MORE

LULU DIVA ADAIWA KUTELEKEZA MTOTO KIJIJINI

SIKU zote raha ya ubuyu hauchagui umri wa kuumun’gunya, shida yake usijisahau tu ukameza na mbegu zake! Ubuyu uliotua mezani...

READ MORE

Diva: Ishu ya Mavoko iliniumiza sana!

MKALI wa Ngoma ya Amezoea, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ kwa mara ya kwanza amefunguka ishu yake na msanii wa Bongo...

READ MORE

Imevuja! Lulu Diva Apokonywa Kila Kitu na Mpenzi Wake!

  IMEVUJA! Ukiachana na habari ya kudaiwa kupangishiwa nyumba na kununuliwa gari mpya aina ya Jeep na kigogo, imebainika kuwa...

READ MORE

Lulu Diva – AMEZOEA (Official Video)

 MUUZA nyago kwenye video za Bongo ambaye pia ni mwanamuziki, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ameachia ngoma mpya ya Amezoea.

READ MORE

Lulu Diva Jeuri Hii Kaipata Wapi?…Anaishi Kwenye Mjengo wa Kifahari

WAKATI wasanii wengine wakilia njaa kali sambamba na kuwa na maisha ya kawaida, hali ni tofauti kwa msanii wa Bongo...

READ MORE

Diva: Acha Waoane, Kwangu Noo!

BAADA ya staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ kufunga ndoa na Uchebe, msanii anayekimbiza na Ngoma ya...

READ MORE

Lulu Diva Adaiwa Kumeza Vidonge vya Kubadili Ngozi!!

MUUZA nyago kwenye video za Bongo ambaye pia ni mwanamuziki, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ anadaiwa kutumia vidonge vya kubadili ngozi...

READ MORE

Lulu Diva: Sijaumia Belle 9 Kuoa

MSANII anayefanya poa kwenye ulimwengu wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ ambaye kipindi cha nyuma aliwahi kuweka wazi hisia...

READ MORE

Lulu Diva Na Ndoa Ya Kimyakimya

MREMBO anayefanya poa Bongo Flevani, Lulu Abas ‘Lulu Diva’ amefunguka kuwa japokuwa ndoa yake imekaribia lakini hahitaji kelele kwenye mitandao...

READ MORE

Lulu Diva Ajimwayamwaya Studio za Global TV Online

MSANII wa Bongo Fleva, Lulu Diva, kwa mara ya kwanza, Alhamisi ya Novemba 24, alipata fursa ya kualikwa katika mahojiano...

READ MORE

Lulu Diva Anawacheka Kwa Dharaaau!

VIDEO Queen aliyegeukia kwenye Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’, amefunguka kuwa, wale wote waliomuita gumegume kipindi cha nyuma, sasa...

READ MORE

Umeinyaka Hii ya Lulu Diva Kumlilia Chid Benz?

HUKU wasanii mbalimbali wakimtaka rapa mkali Bongo, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ kuachana na matumizi ya madawa ya kulevya, chipukizi anayefanya...

READ MORE

Wabongo Wamkwaza Lulu Diva Kimapenzi

HIT maker wa Kibao cha Usimwache, Lulu Abasi maarufu kama Lulu Diva, ameelezea kukwazwa kwake na wanaume wa Kibongo kutokana...

READ MORE

Lulu Diva Alivyozichapa Kavukavu na Njemba

HIT Maker wa ngoma ya Usimwache, Lulu Abasi ‘Lulu Diva’ amefunguka kuwa katika maisha yake, kitu cha kijinga ambacho kamwe...

READ MORE

LULU DIVA AWEKA WAZI ‘WEUPE’ WAKE

  MSANII wa kike wa muziki wa Bongo Fleva nchini Lulu Diva, ameweka bayana siri ya weupe wake. Mwanamuziki huyo...

READ MORE

Lulu Diva Aporwa Gari

MIEZI michache ikiwa imepita tangu mwanamuziki wa Bongo Fleva ambaye pia ni muuza nyago, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ ahongwe gari...

READ MORE

Lulu Diva: Sijawahi Kujuta Kumpenda Belle 9

MREMBO aliyewahi kutikisa kwenye masuala ya kuuza sura kwenye video za Kibongo, kisha kuhamia kwenye muziki, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’...

READ MORE