Lusinde Amchana Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe Kumnanga Magufuli
MBUNGE wa Mvumi (CCM), Livingstone Lusinde leo Ijumaa Aprili 22, 2022 amemshukia Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na watu wanaomsema vibaya Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli na kumsema vizuri Rais Samia Suluhu Hassan ni…
