Wasomaji Mbagala Watamba Kunyakua Ndinga ya Championi, Spoti Xtra
Wasomaji wa magazeti ya bora ya michezo yanayoongoza kwa habari za uhakika zilizofanyiwa uchunguzi wa kina Championi na Spoti Xtra, maeneo ya Mbagala jijini Dar, jana Alhamisi walizidi kuchangamkia shindano la kubwa la Baba…
