Hata Uwe Bilionea, Bila Mambo Haya Hujafanikiwa!
Na AMRANI KAIMA| GAZETI LA IJUMAA| SAIKOLOJIA, MAISHA NA WEWE
Huko mtaani kuna dhana ambayo imejengeka katika baadhi ya vichwa vya watu kwamba, kuwa na mabilioni ya pesa ni kufanikiwa. Kwa kuzingatia dhana hii, baadhi ya watu hufikia…
