The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

machinga

Tuwatimue Wamachinga?

TANZANIA bado ina uchumi legelege, asilimia kubwa ya wananchi wake ni masikini. Ajira limekuwa jambo la bahati; kwa mwaka vijana wanaopata ajira ni 40,000 kati ya Milioni Moja wanaohitimu masomo kutosha shule na vyuo mbalimbali. …

Machinga Iringa Wagoma Kuondoka

WAFANYABIASHARA wadogo wadogo (machinga) wa Manispaa ya Iringa wamesema kuwa hawapo tayari kuondoka katika eneo la Mashine Tatu na Miomboni kwa kuwa maeneo hayo ndio ambayo yanawateja wengi wanaonunua bidhaa kwa wingi tofauti na maeneo…