Wito: Mamlaka na Taasisi Ziwatumie Wahitimu wa Chuo cha Maji
MKUU wa Chuo cha Maji (Water Institute) kilichoko jijini Dar es Salaam, Shija Kazumba, ameziomba mamlaka za serikali na taasisi kutumia au kuwaajiri wataalam wa maji wanaomaliza masomo yao kutoka chuo hicho katika shughuli nzima za…
