×

Tag: MAKALA ZA MAISHA

UNAOMBAJE MSAMAHA KWA MPENZI WAKO ?

MARAFIKI karibuni katika safu yetu hii ya XXLove ambayo hutupa maarifa kuhusu uhusiano na mapenzi. Siku zinayoyoma, zimebaki siku chache...

READ MORE

TATHMINI UHUSIANO WAKO, 2018 UNAKUACHAJE, 2019 UNAINGIAJE?

ZIMEBAKI wiki chache kabla ya kuuaga mwaka 2018 na kuingia Mwaka Mpya wa 2019! Ni suala la kila mmoja wetu...

READ MORE

SUFURIA YA KUAZIMA HAIUNGUZI MBOGA

KAMA nakuona vile, unaringia gauni la dukani unasahau kama umevaa viatu vya mtumba, heeee heeeeiyaaa! Unalo mwaka huu shoga! Wanakwambia...

READ MORE

JINSI YA KUKABILIANA NA MAUMIVU YA KICHWA!

KHALID Chokoraa ameimba; kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu, wewe unakonda mwenzako ananenepa kwa mawazo…kwa mawazo…kwa mawazo.  Hicho kilikuwa ni kibwagizo...

READ MORE

AMEUVUNJA MOYO WAKO NA KUKUACHA NA MAJONZI ? SOMA HAPA- 2

NAKUSHUKURU mpendwa msomaji wangu ambaye umetumia muda wako ‘kushea’ nami kuhusu mada hii kama tulivyoianza wiki iliyopita. Nimepokea meseji nyingi...

READ MORE

USISEME HUNA BAHATI, UMEJIKAGUA VYA KUTOSHA?

DUNIA ya sasa imejaa sarakasi nyingi sana katika masuala ya mahusiano. Huyu anampenda yule, mwenzake hampendi. Anayemkataa mwenzake naye anampenda...

READ MORE

UKIMFANYIA HAYA MWANAUME UGOMVI MTAUSIKIA KWA MAJIRANI

ALHAMISI nyingine, tunakutana kwenye darasa letu la masuala ya mahusiano. Ni vyema kuyazungumza na kuyafanyia kazi ili mahusiano yetu yazidi...

READ MORE

SAA YA UKUTANI HAIVALIWI MKONONI

OHH Anti Naa siku hizi hachambi sana kama zamani, komaaa! Aliyekwambia hii kolamu ya kuchamba nani? Hee heeeiyaaaaa! Waswahili wanakwambia...

READ MORE

KUNA MAISHA BAADA YA KUUMIZWA, YATAFUTE HIVI !

DUNIA ya wapendanao kila siku ina mambo mapya. Huyu anaingia huyu anatoka. Kuna ambaye analia na kuna ambaye anacheka. Anayecheka...

READ MORE

RAHA YA MCHEZO NI MAANDALIZI YA KISAIKOLOJIA SIYO UCHAWI

JUMAA ya leo ningependa tujadiliane jambo la tofauti kidogo! Kabla ya yote, tukubaliane kwamba usiri na kukosa uwazi kwenye mambo...

READ MORE

BODABODA HAINA TIKETI

WAJANJA wanakwambia hiviii, hata gari lina sofa lakini siyo za kutengenezwa kwa mbao, upo nyonyo? Heee eheeeeiyaaaa tangu lini mfuniko...

READ MORE

UNAWEZA KUOLEWA N A MTU USIYEMPENDA ?

MUNGU ni mwema, Jumamosi nyingine tunakutana kwenye kilinge. Tunajadili yale ambayo yanahusu uhusiano, uchumba na hata ndoa. Moja kati ya...

READ MORE

KUNA WANAOAMINI NDUMBA KWENYE MAPENZI, USIWAPUUZE!

MUNGU ni mwema, Alhamisi nyingine ametujaalia tunakutana katika jamvi letu la ulimwengu wa mahaba. Kama ilivyo ada, hapa tunapanuana mawazo...

READ MORE

KIJIKO CHA JIKONI, HAKIOGOPI MOTO !

SHUUUUTUUUU! Jitu zima hovyo kutwa kuwasema wamama wenzio, hivi jamani mtu kufanikiwa kidogo ndo yamekuwa maneno? Basi yachukue kayachapishe kwenye...

READ MORE

JINSI YA KUWAEPUKA WALAGHAI WA MAPENZI

MAISHA yanaenda kasi sana huku suala la ndoa likiwa ni kipaumbele cha kwanza na kigumu kwa wanawake. Wengi hujikuta wakichanganyikiwa...

READ MORE

NYUMBA YA UDONGO HAIPIGWI DEKI

 HALOOOO eeeehhhh! Umezoea cheko la nyundo ngoja nikupe la msumari miye, nginjha nginjha! Nimeingia mjini tena Anti Naa kungwi wa...

READ MORE

‘UGONJWA WA KKK’ UNAVYOTESA WENGI KWENYE MAPENZI

NI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiwa na imani kwamba Mungu amekujaalia uzima na unaendelea vyema na...

READ MORE

MKIFANYA HAYA , LAZIMA MFURAHIE UHUSIANO

MAHUSIANO ya mwanaume na mwanamke huku-tanisha watu kutoka koo mbalimbali. Kila mtu anakuwa amelelewa tofauti kwa wazazi wake.  Tabia haziwezi kufanana....

READ MORE

UMEUMIZWA PENZINI, HUJUI HATMA YAKO? JIFUNZE

 MAPENZI yanauma. Yanauma kwelikweli. Unapokuwa umewekeza nguvu, mwili na akili kwa mtu halafu ikatokea amekatisha safari ghafla huwa inauma. Inauma kwa...

READ MORE

JINSI YA KUIPATA AMANI YA MOYO PENZINI !

UKIFANYA utafiti kwa vijana wengi kwa sasa kuhusu suala la amani ya moyo katika uhusiano wao, asilimia kubwa watakuambia hawana...

READ MORE

ZIJUE ATHARI ZA KUOA MWANAMKE MZURI ALIYEKUZIDI KIPATO !

AWALI ya yote naomba niseme kwamba, raha ya ndoa ni kumpata mtu ambaye anajua maisha na anajua mapenzi pia. Ukipata...

READ MORE

ANAYEMFANYIA HAYA MUMEWE ILI KUMTULIZA NI BOGASI

NI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii ambapo tunazungumzia mada mbalimbali zinazogusa maisha yetu ya kimapenzi.  Namshukuru Mungu kwa...

READ MORE

KILA MMOJA ANALALAMA ‘MAANDALIZI’!

KARIBU jamvini mpenzi msomaji kwa kuwa Mungu ametujalia siha njema na tumekutana tena leo kwa mapenzi yake. Nalazimika kuileta mada...

READ MORE

WAZAZI NI KIKWAZO CHA NDOA YAKO? SOMA HAPA

  NIANZE na neno kidogo; uhusiano sahihi ni ule ambao una manufaa ya baadaye. Nikusihi rafiki, hakikisha unaishi na mtu...

READ MORE

SHIMO LA PANYA HALIZIBWI KWA MKATE

ALIYEKU-DANGANYA siku hizi maneno ya kwenye kanga yanatumika kuchamba nani? Heeeeeloooo utajibeba mwaka huu kama siyo kujiangusha, upo nyonyo? Siku...

READ MORE

HATARI YA KUKOSEKANA KWA FURAHA KWENYE PENZI LAKO!

KARIBU kwenye ulimwengu wa elimu ya mapenzi na maisha. Tukubaliane kwamba wote tunazaliwa tukiwa safi ‘watakatifu’ kabla ya kukutana na...

READ MORE

UMUHIMU WA FARAGHA NA MAKOSA YA WANAWAKE

TENDO la ndoa lina umuhimu wake. Kwa namna moja au nyingine linakamilisha maana nzima ya mapenzi. Ni kama vile kachumbari...

READ MORE

KWENYE UHUSIANO KUNA MAZOEZI NA MECHI, UPO WAPI ?

 UNAPOBAHATIKA kuingia kwenye uhusiano bila kupitia sarakasi za kutosha mshukuru Mungu. Wengi sana wamejikuta wakiangua vilio kwa kuteswa na mapenzi....

READ MORE

ATHARI ZA MWANAMKE KUTOFIKA KILELENI KWENYE TENDO LA NDOA

TATIZO hili la mwanamke kutofikishwa kileleni wakati wa kujamiiana huitwa ‘Female Orgasmic Disorders’ kufika kileleni tunaita ‘orgasm’ au ‘climax’. Kila...

READ MORE