MARAFIKI karibuni katika safu yetu hii ya XXLove ambayo hutupa maarifa kuhusu uhusiano na mapenzi. Siku zinayoyoma, zimebaki siku chache...
READ MOREZIMEBAKI wiki chache kabla ya kuuaga mwaka 2018 na kuingia Mwaka Mpya wa 2019! Ni suala la kila mmoja wetu...
READ MOREKAMA nakuona vile, unaringia gauni la dukani unasahau kama umevaa viatu vya mtumba, heeee heeeeiyaaa! Unalo mwaka huu shoga! Wanakwambia...
READ MOREKHALID Chokoraa ameimba; kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu, wewe unakonda mwenzako ananenepa kwa mawazo…kwa mawazo…kwa mawazo. Hicho kilikuwa ni kibwagizo...
READ MORENAKUSHUKURU mpendwa msomaji wangu ambaye umetumia muda wako ‘kushea’ nami kuhusu mada hii kama tulivyoianza wiki iliyopita. Nimepokea meseji nyingi...
READ MOREDUNIA ya sasa imejaa sarakasi nyingi sana katika masuala ya mahusiano. Huyu anampenda yule, mwenzake hampendi. Anayemkataa mwenzake naye anampenda...
READ MOREALHAMISI nyingine, tunakutana kwenye darasa letu la masuala ya mahusiano. Ni vyema kuyazungumza na kuyafanyia kazi ili mahusiano yetu yazidi...
READ MOREOHH Anti Naa siku hizi hachambi sana kama zamani, komaaa! Aliyekwambia hii kolamu ya kuchamba nani? Hee heeeiyaaaaa! Waswahili wanakwambia...
READ MOREDUNIA ya wapendanao kila siku ina mambo mapya. Huyu anaingia huyu anatoka. Kuna ambaye analia na kuna ambaye anacheka. Anayecheka...
READ MOREJUMAA ya leo ningependa tujadiliane jambo la tofauti kidogo! Kabla ya yote, tukubaliane kwamba usiri na kukosa uwazi kwenye mambo...
READ MOREWAJANJA wanakwambia hiviii, hata gari lina sofa lakini siyo za kutengenezwa kwa mbao, upo nyonyo? Heee eheeeeiyaaaa tangu lini mfuniko...
READ MOREMUNGU ni mwema, Jumamosi nyingine tunakutana kwenye kilinge. Tunajadili yale ambayo yanahusu uhusiano, uchumba na hata ndoa. Moja kati ya...
READ MOREMUNGU ni mwema, Alhamisi nyingine ametujaalia tunakutana katika jamvi letu la ulimwengu wa mahaba. Kama ilivyo ada, hapa tunapanuana mawazo...
READ MORESHUUUUTUUUU! Jitu zima hovyo kutwa kuwasema wamama wenzio, hivi jamani mtu kufanikiwa kidogo ndo yamekuwa maneno? Basi yachukue kayachapishe kwenye...
READ MOREMAISHA yanaenda kasi sana huku suala la ndoa likiwa ni kipaumbele cha kwanza na kigumu kwa wanawake. Wengi hujikuta wakichanganyikiwa...
READ MOREHALOOOO eeeehhhh! Umezoea cheko la nyundo ngoja nikupe la msumari miye, nginjha nginjha! Nimeingia mjini tena Anti Naa kungwi wa...
READ MORENI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiwa na imani kwamba Mungu amekujaalia uzima na unaendelea vyema na...
READ MOREMAHUSIANO ya mwanaume na mwanamke huku-tanisha watu kutoka koo mbalimbali. Kila mtu anakuwa amelelewa tofauti kwa wazazi wake. Tabia haziwezi kufanana....
READ MOREMAPENZI yanauma. Yanauma kwelikweli. Unapokuwa umewekeza nguvu, mwili na akili kwa mtu halafu ikatokea amekatisha safari ghafla huwa inauma. Inauma kwa...
READ MOREUKIFANYA utafiti kwa vijana wengi kwa sasa kuhusu suala la amani ya moyo katika uhusiano wao, asilimia kubwa watakuambia hawana...
READ MOREAWALI ya yote naomba niseme kwamba, raha ya ndoa ni kumpata mtu ambaye anajua maisha na anajua mapenzi pia. Ukipata...
READ MORENI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii ambapo tunazungumzia mada mbalimbali zinazogusa maisha yetu ya kimapenzi. Namshukuru Mungu kwa...
READ MOREKARIBU jamvini mpenzi msomaji kwa kuwa Mungu ametujalia siha njema na tumekutana tena leo kwa mapenzi yake. Nalazimika kuileta mada...
READ MORENIANZE na neno kidogo; uhusiano sahihi ni ule ambao una manufaa ya baadaye. Nikusihi rafiki, hakikisha unaishi na mtu...
READ MOREALIYEKU-DANGANYA siku hizi maneno ya kwenye kanga yanatumika kuchamba nani? Heeeeeloooo utajibeba mwaka huu kama siyo kujiangusha, upo nyonyo? Siku...
READ MOREKARIBU kwenye ulimwengu wa elimu ya mapenzi na maisha. Tukubaliane kwamba wote tunazaliwa tukiwa safi ‘watakatifu’ kabla ya kukutana na...
READ MORETENDO la ndoa lina umuhimu wake. Kwa namna moja au nyingine linakamilisha maana nzima ya mapenzi. Ni kama vile kachumbari...
READ MOREUNAPOBAHATIKA kuingia kwenye uhusiano bila kupitia sarakasi za kutosha mshukuru Mungu. Wengi sana wamejikuta wakiangua vilio kwa kuteswa na mapenzi....
READ MORETATIZO hili la mwanamke kutofikishwa kileleni wakati wa kujamiiana huitwa ‘Female Orgasmic Disorders’ kufika kileleni tunaita ‘orgasm’ au ‘climax’. Kila...
READ MORE