×

Tag: Makala

Fahamu Silaha 5 za Mwanamke Kumteka Mwanaume Kimapenzi

KATIKA maisha ya mapenzi watu wanapaswa kuelewana na kusikilizana mno. Hii ndiyo silaha kubwa zaidi kuliko zote na rahisi zaidi...

READ MORE

Kuna Wakati Penzi Linakufa Jiandae Kwa Maamuzi Magumu!

KUNA wakati unafika, moyo huwa unakinahi. Hautaki tena kusikia kitu kinachoitwa mapenzi, hicho ni kipindi ambacho kinasababisha maumivu makubwa kwa...

READ MORE

Ifahamu figo yako inavyoweza kuharibika

 LEO tutakuelimisha kuhusu chanzo cha maradhi ya figo na tutakueleza dalili zake ili ufahamu jinsi ya kujikinga.  Figo ni sehemu...

READ MORE

Njia Tano Za Kudumisha Uhusiano Kimapenzi

UKWELI ni kwamba mapenzi hayana njia moja ya kufuatwa lakini kuna vitu ambavyo vinajulikana kuchangia katika kuboresha uhusiano baina ya...

READ MORE

Faida, Hasara Za Wapendanao Kuambizana Ukweli!

UKIZUNGUMZA na wanaume wengi kwa sasa, watakuambia wanawake siyo wa kuwaeleza kila kitu katika uhalisia wake. Wanatakiwa kudanganywa kidogo ili...

READ MORE

Utamjuaje Mpenzi Ambaye Anakusaliti? Soma Hapa

  USALITI ni jambo baya katika uhusiano. Usaliti si ujanja, japo wengi wanaowaza kusaliti huwa wanajiona wajanja. Wanajiona wamewini pale...

READ MORE

Hizi Hapa Siri za Wapendanao Kuishi Hadi Kuzeeka Pamoja!

Kudumu kwa wapendanao katika ndoa yenye amani na furaha kwa miaka mingi si jambo rahisi. Maisha ya uhusiano huwa na...

READ MORE

Hizi Hapa Mbinu Za Kukabiliana Na Maumivu Ya Mapenzi

KARIBU jamvini mdau. Ni Jumatatu nyingine tumekutana kupeana maujanja ya mapenzi na maisha kwa jumla. Unachopaswa kujua ni kwamba kila...

READ MORE

Madhara ya Mwanamke kuwa muongeaji kupitiliza Yapa Hapa

USHAWAHI kukutana na mwanamke anaongea sana? Yaani yeye ni bandika bandua. Likiisha hili anaingiza hili, anajua kila kitu. Ana ujasiri...

READ MORE

Ukiona Dalili Hizi, Tambua Wewe Siyo Chaguo Lake

SAFARI ya mapenzi kati ya watu wawili wanaopendana, huanza kwa mmoja kati yao, hasa mwanaume kumtamkia nia yake yule anayempenda...

READ MORE

Hasira; Chanzo Kikubwa cha Kuvunjika Uhusiano!

LAITI kama kwenye dunia hii kila mmoja angejitambua, akafuata misingi sahihi ya uhusiano, basi kusingekuwa na ugomvi.  Watu wangekuwa wanapishana...

READ MORE

Kwa Nini Penzi Lenu Halina Raha Kama Mwanzo? Chanzo Kipo Hapa

NI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana tena kupitia safu hii nikiamini kwamba umzima buheri wa afya na unaendelea vyema na...

READ MORE

Ukitaka Penzi Lako Lidumu, Fanaya Haya Tangu Mwanzo!

HAKUNA muda ambao hisia za mapenzi na msisimko huwa mkubwa kama kipindi ambacho ndiyo kwanza mnaanzana. Ukiwauliza watu wengi leo...

READ MORE

Suluhisho Kwa Wapenzi Wanaogombana Kila Mara, Soma Hapa

SIKU hizi ugomvi kwenye mahusiano imekuwa kama ni jambo la kawaida. Watu wanagombana kwelikweli. Utakuta mtu haipiti mwezi mmoja bila...

READ MORE

Makosa Yanayosababisha Wanawake Wasiolewe Yapo Hapa!

WAHENGA huwa wana misemo yao ile kwamba sijui kuolewa ni bahati, kuolewa ni tabia na mingine mingi tu. Leo nataka...

READ MORE

Fanya Hivi Kama Unaona Mpenzi Wako Hamuendani!

NI Jumanne nyingine tunakutana kwenye eneo letu la kupeana elimu ya uhusiano. Ulimwengu huu ni mzuri kama utampata mtu sahihi....

READ MORE

Amekutumia Halafu Anakuacha? Usiumie, Fanya Haya!

MUNGU ni mwema sana. Tunakutana katika eneo letu la kuweza kupeana darasa la masuala ya uhusiano. Tunajifunza, tunatafakari kwa pamoja...

READ MORE

Fahamu Tatizo la Vidonda vya Tumbo kwa Mjamzito

MJAMZITO anaweza kupata vidonda vya tumbo kabla au baada ya ujauzito.  Umakini unahitajika sana katika kumchunguza mama mjamzito ili kuelewa...

READ MORE

Wanawake wenye vyeo, Madaraka hawafai kuolewa? Ukweli Halisi Upo Hapa

Mwaka huu ulipanga kufanya nini na mwenzi wako? Nini ambacho hakijakamilika? Kwa sababu gani hamjakamilisha? Mkishajua wapi mmekwama, basi ni...

READ MORE

Mambo Wasiyopenda Wanaume Kwa Wanawake

KUPITIA safu hii nimekuwa nikipata malalamiko mengi kutoka kwa wanawake. Kilio chao kikubwa ni kukimbiwa na wanaume au kuachwa. Leo...

READ MORE

Hizi Hapa Sababu Zinazowafanya Wanawake Wasiolewe Zipo Hapa

JUMATANO nyingine tunakutana kwenye kilinge chetu cha kupeana mambo mbalimbali yahusuyo maisha ya uhusiano. Ili uishi vizuri na mwenzi wako...

READ MORE

Amekuvunja Moyo Wako Na Kukuacha Na Majonzi Soma Hapa

MAUMIVU katika mapenzi huwa hayazoeleki. Hata kama unajifanya wewe ni shujaa kiasi gani, inapotokea yule unayempendaye akakuumiza, akauvunja moyo wako,...

READ MORE

Faida za Kula Ufuta Kila Siku kwa Afya ya Mwili, Siri Nzito Ipo Hapa

UFUTA au kitaalamu Sesamum indicum, hustawi na hulimwa zaidi mikoa ya Kusini mwa Tanzania ya Lindi, Mtwara na sehemu ya...

READ MORE

Mbinu za Kumfunga Breki Mwanaume Anayechepuka

HOFU kubwa anayoweza kuwa nayo mwanamke aliye katika ndoa au katika uhusiano wa kudumu, ni mumewe au mpenzi wake kumsaliti...

READ MORE

Ukiona Dalili Hizi, Mwenzako Anamchepuko

KILA mmoja atakubaliana na mimi kwamba mahusiano baina ya wapendanao kwa kawaida yanakusudia kuwa ya upendo, maelewano, kuaminiana na urafiki...

READ MORE

Usipojiangalia, haya yataivunja ndoa yako!

KILA kukicha napata ujumbe kutoka kwa wanandoa ambao hulalamika kuwa hawawaelewi wenza wao kwani wamebadilika lakini malalamiko mengi yanaelekezwa kwenye...

READ MORE

Kama Haoni Umuhimu Wako, Muombee Aishi Miaka Mingi!

JUMATANO nyingine Mungu ametukutanisha. Kama ilivyo kawaida, hapa huwa tunajadili mambo mbalimbali yahusuyo masuala ya mahusiano. Ili uweze kuishi vizuri,...

READ MORE

Kauli Wanazopenda Wanaume Kuzisikia Kwa Wenza Wao, Zipo Hapa

HAKUNA kitu kizuri kwenye uhusiano kama kujua mwenzako anapenda nini. Unapomjua mwenzako anachokipenda, itakusaidia katika suala zima la kudumisha uhusiano....

READ MORE

Kwa nini wachumba wanakupiga kibuti kila mara? Soma Hapa

UHUSIANO wa kimapenzi kwa vijana wengi hukumbwa na changamoto nyingi. Zipo sababu kadhaa zinazosababisha hilo, lakini kubwa zaidi ni ugeni...

READ MORE

Uvumilivu Una Kikomo, Hata Kama Ni Mzuri Vipi Bora Umuache!

KUNA huu msemo usemao, mvumilivu hula mbivu. Hakuna ambaye ni mgeni wa msemo huu, hukuna asiyejua elimu tunayoipata kutokana na...

READ MORE

Marafiki, Wanajenga, Wanabomoa Uhusiano, Jifunze!

DUNIANI tunaishi kwa kutegemeana. Kwenye maisha kila mtu anamhitaji mwenzake kwa namna moja au nyingine. Anahitaji msaada wa mawazo, ushauri...

READ MORE

Madhara ya Wapenzi Kugombana na Kununiana Mara kwa Mara

MWISHONI mwa wiki iliyopita, nilipata bahati ya kukutana na mmoja kati ya wasomaji wangu wa siku nyingi ambaye amekuwa akiufuatilia...

READ MORE

Hata Kama Upo Naeye Kwenye Ndoa, Unapaswa Kumpa Uhuru Wake

  HATA Jinsi tulivyoumbwa, kila mmoja anapenda sana kuwa na ule uhuru wake wa faragha au kwa Kingereza wanaita privacy....

READ MORE

Utajuaje Kama Umempata Mtu Sahihi? Soma Hapa

YAWEZEKANA kwa kipindi kirefu ulikuwa ukitamani kumpata mpenzi wa kweli ambaye atakupenda na kukufanya uyafurahie mapenzi na maisha kwa jumla....

READ MORE

Faida Za Wapendanao Kuwa Marafiki

UTOKANA na mila mbalimbali, baadhi ya watu wamekuwa wakiamini kwamba mwanamke ni daraja la pili. Daraja la kwanza na lenye...

READ MORE

Kusikilizana; Silaha Kubwa Ya Kudumisha Penzi

NI siku nyingine Mungu ametupa pumzi tunaendelea kusukuma gurudumu la maisha yetu ya hapa duniani, yatupasa tumrudishie yeye sifa na...

READ MORE

Aina 10 Za Wanawake Wanaopendwa Na Wanaume

KARIBU jamvini mdau, ni siku nyingine tunakutana tena hapa kupeana elimu ya uhusiano wa kimapenzi na maisha kwa jumla. Nimekwishaeleza...

READ MORE

Usimuache kwa udhaifu wake, utampata wapi mkamilifu?

WATU wengi ambao wana matatizo katika ndoa au uhusiano wao wa kimapenzi, wanapokuja kwangu kwa lengo la kutaka ushauri, huwa...

READ MORE

Athari za Kunywa Pombe kwa Mjamzito … Soma Hapa

KATI ya mambo ambayo wanawake wengi hawatilii maanani sana ni unywaji wa pombe wakati wa ujauzito licha ya kushauriwa na...

READ MORE

Mbinu Sahihi Kwa Anayetaka Kuolewa!

Maisha yanaenda kasi sana huku suala la ndoa likiwa ni kipaumbele cha kwanza na kigumu kwa wanawake. Matokeo yake wengi...

READ MORE