×

Tag: MASTAA WA BONGO

Flaviana Matata Atoa Vifaa vya Masomo Shule ya Msinune, Pwani

TAASISI ya Mwanamitindo wa Kimataifa Flaviana Matata imetoa vifaa vya masomo ikiwemo mabegi pampja na kalamu kwa wanafunzi wa Shule...

READ MORE

Aunty Ezekiel Amuonesha Baba Wa Mtoto -Video

Hatimaye Staa wa filamu za kibongo, Aunt Ezekiel leo Januari 10, 2021 amemuibua baba wa mtoto wake aliyejifungua hivi karibuni...

READ MORE

Number One – Nandy Featuring Joeboy (Official Video)

 MWANADADA anayepeperusha bendera ya Bongo Fleva, Faustina Charles Mfinanga ‘Nandy’ametoa video mpya ya wimbo wa ‘Number One’ amemshirikisha staa...

READ MORE

Cardi B Amuwashia Moto Bosi WWE

MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Mieleka ya WWE, Vince Macmahon, amejikuta akiwashiwa moto mtandaoni na rapa Cardi B, akidai kutumika...

READ MORE

Chuchu, Ray Ndo Basi Tena!

MSANII wa filamu za Kibongo, Chuchu Hans amesema kuzaa na msanii mwenzake Vincent Kigosi ‘Ray’ isiwe tabu na kuanza kumjulisha...

READ MORE

Kilichomuua Mngereza ni Hiki, Soma Hapa

BAADA ya aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa ‘Basata’, Godfrey Mngereza kufariki dunia usiku wa kuamkia jana,...

READ MORE

Meja Kunta Ajilipua Penzi La Malkia Karen

VUNJA ukimya! Staa wa Singeli, Khalid Sadick ‘Meja Kunta’ kwa mara ya kwanza ameamua kujilipua na kuanika uhusiano wake wa...

READ MORE

Jengua Aswaliwa Mkuranga, Kuzikwa Mburahati Dar

  MWILI wa muigizaji nguli nchini Tanzania, Mohamed Fungafunga, maarufu kama Jengua unaswaliwa leo Desemba 16, 2020 nyumbani kwa mwanaye...

READ MORE

Video Mpya: Pam D Ft Patricia Hillary – Mambeza

 MSANII wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’ ameachia wimbo wake wa Mambeza ambao amemshirikisha Patricia Hillary. Usipitwe na...

READ MORE

Balaa La Zuchu Arusha Usipime, Apigiwa Shangwe -Video

TIMU ya wasanii ya WCB wakiongozwa na Diamond Platnumz, pamoja na wasanii wengine wakiwemo Whozu, TID, Gigy Money, Linah, Young...

READ MORE

Wema, Nicole, na Poshy Queen Wanatajwa Kutengeneza Shepu

SIKU hizi muonekano ndio humbeba mtu hasa mtoto wa kike, ndio! Ukiwa na muonekano mzuri ni rahisi hata kupata madili...

READ MORE

Ebitoke Amlipua Nai Kisa ‘Do You Love Me’

MSANII wa vichekesho nchini,ambaye pia ni msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Anastazia Exavery ‘Ebitoke’ kwa mara ya kwanza ameropoka...

READ MORE

Harmonize Alizwa Mamilioni YouTube

Staa wa Bongo Fleva ambaye pia ni bosi wa lebo kubwa ya muziki nchini Tanzania ya Konde Gang Music Worldwide,...

READ MORE

Dayna, Patoranking Kuna Jambo Lao La Kibabe

MWANADADA mwenye kipaji kikubwa kunako gemu ya Bongo Fleva hapa nchini, Dayna Nyange amefunguka kuwa yuko kwenye maandalizi kabambe ya...

READ MORE

Aunt: Acheni Kuita Wapenzi Wa Wenzenu Wadogo

Ukitaja mmoja wa wasanii walioweza kuifanya Bongo Muvi kusonga mbele, kamwe huwezi kuacha kulitaja jina la mwamama mrembo, Aunt Ezekiel...

READ MORE

Dayna Nyange Wivu Umeniponza

MWANAMAMA anayefanya poa kunako gemu ya muziki wa Bongo Fleva; Mwanaisha Nyange ‘Dayna Nyange’ amesema kuwa kinachomfanya aachane na wapenzi...

READ MORE

Top 5 Wachekeshaji Wa Kike Bongo Wanaotikisa

  KILA tasnia ya burudani hapa Bongo, imekua ikitoa vipaji vikali ambavyo vinajizolea mashabiki lukuki kutokana na kile anachokifanya msanii...

READ MORE

Odama Afunguka Kuzushiwa Kifo

  MWANAMAMAmwenye adabu zake katika kiwanda cha Bongo Movies, Jenipher Kyaka ‘Odama’, amefunguka kuwa haikumuumiza kuzushiwa kifo, kwani kila mtu...

READ MORE

Kiba, Meneja Wake Kimenuka!

  Kimenuka? Upepo unadaiwa si mzuri kati ya mfalme wa Bongo Fleva, Ali Salehe Kiba ‘King Kiba’ na meneja wake,...

READ MORE

Nandy, Tanasha Watangaza Hali Ya Hatari

Mastaa wa kike wa muziki Afrika Mashariki, Faustina Charles ‘Nandy’ na Tanasha Oketch Donna, wametangaza hali ya hatari.   Tanasha...

READ MORE

Darleen Avunja Ukimya Ugomvi Na Mke Mwezake!

First Lady wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’, amevunja ukimya juu ya tuhuma za kuwa...

READ MORE

Batuli: Huu Si Wakati Wa Maonesha

MWANAMAMA mkali kwenye Tamthiliya za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ amefunguka kuwa, katika kipindi cha sasa, mambo ya maonesho yamepitwa na...

READ MORE

Uzee Wampa Mawazo WEMA, Afunguka

STAA asiyechuja miaka nenda rudi, Wema Sepetu amefunguka kuwa hakuna kitu anachokiwazia kwenye maisha yake kama maisha ya uzee na...

READ MORE

Bilionea Laizer Awakataa Mastaa wa Kibongo

HII inaitwa sitaki shobo! Bilionea mpya Bongo, Saniniu Laizer ambaye wiki iliyopita alitangazwa kuwa bilionea mpya wa madini nchini, amewakataa...

READ MORE

Zamaradi Kuwakutanisha Mastaa Sabasaba

MTANGAZAJI maarufu ambaye anamiliki Zamaradi TV, Zamaradi Mketema anatarajia kuwakutanisha mastaa mbalimbali Bongo ambao ni wafanyabiashara ndani ya maonyesho ya...

READ MORE

Mondi Amponza Husna Maulid, Kupenda Ni Gharama!

Kupenda wakati mwingine ni gharama! Kitendo cha kuonesha upendo wake kwa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kimemtokea...

READ MORE

Vanessa Aibua Vilio Kuacha Muziki

NI kama msiba! Ndicho kilichotokea baada ya mwanamuziki mkubwa wa Afro-Pop kutoka Tanzania na Afrika, Vanessa Mdee ‘V-Money’ kutangaza rasmi...

READ MORE

Lulu Diva Anatembea na Roho ya Wema, Mazito Yaibuka!

UKISIKIA ushoga umepamba moto, basi ni huu wa staa mwenye jina kubwa Bongo, Wema Sepetu na mwanamuziki wa kike wa...

READ MORE

Tessy Aipa Kisogo Skendo Ya Kufumaniwa

MREMBO ambaye ni mzazi mwenza na mwanamuziki wa Bongo Fleva, Aslay Isahaka ‘Aslay’, Kaitesiya Abdul ‘Tessy’ amesema kuwa maisha yake...

READ MORE

Linah: Inaniumiza Kulea Mtoto Mwenyewe

MWANADADA kunako Bongo Fleva, Estelinah Sanga ‘Linah’, amefunguka kuwa inamuumiza sana kumlea mtoto wake akiwa mwenyewe.   Akizungumza na Amani,...

READ MORE

Mondi Anunua Mtaa Mzima

Usiseme ‘hatuna pesa, sema sina pesa!’ Anachokifanya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au ‘Mondi’ kwenye nyakati hizi...

READ MORE

Ijumaa Sexiest Girl 2019/20… Poshy Queen, Mimi Mars Ni Mshikemshike

BAADA ya kubaki warembo wawili, Posh Queen na Mimi Mars, sasa ni mshikemshike nguo kuchanika ambapo kumekuwa na upigaji kura...

READ MORE

Amini Afungukia Watu Kupenda Mahusiano Yake Na Linah

AMINI Mwinyi Mkuu ndiyo jina halisi alilopewa na wazazi wake, lakini kwa mashabiki wa Bongo Fleva hapa nchini wanamjua kwa...

READ MORE

Sabby Angel: Mapenzi Yameniponza

MUIGIZAJImahili wa Bongo Muvi, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amefunguka kuwa mapenzi ya ulaghai yamempotezea dira ya maisha yake.   Akizungumza...

READ MORE

Nai Akiri Kuachana Na Moni

VIDEO vixen Bongo, Nai amekiri kuachana na mpenzi wake wa muda mrefu ambaye ni mwanamuziki wa Bongo Fleva, Moni Centrozone...

READ MORE

Sarah Ajirudi Kwa Harmo!

Moshi mweupe! Mchumba wa staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’, Sarah Michelotti amefufua matumani ya wawili hao kurudiana kufuatia...

READ MORE

Ripper Mcongo Wa Norway Awapa Mchongo Diamond, Ali Kiba

MWANAMUZIKI mahiri mzaliwa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) anayefanya shughuli zake za muziki nchini Norway kwa lugha ya...

READ MORE

Penzi la Rotimi, Vanessa Ni Habari Nyingine

KAMA ulikuwa unategemea itafika siku utaona kapo ya wasanii, Rotimi na Vanessa ikivunjika basi fahamu ya kuwa wapenzi hao wameapa...

READ MORE

Muna: Nikiwa Muislam Au Mkristo Haiwahusu

MUIGIZAJI wa filamu Bongo, Rose Alphonce ‘Muna’ amewacharukia wanaomsakama kila kukicha kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na dini ambayo mpaka...

READ MORE

Corona Yamnyoosha Faiza

STAA wa Filamu ya Baby Mama, Faiza Ally ambaye ni mfanyabiashara anayefuata mizigo nje ya nchi, ameelezea namna janga la...

READ MORE