Mcameroon: Simba njooni, sina tatizo
Yussouf Sabo
Na Omary Mdose,
Dar es Salaam
KIUNGO wa Coastal Union ya Tanga, Yussouf Sabo, raia wa Cameroon, ametamka wazi kuwa anatamani siku moja aweze kuichezea timu kubwa hapa nchini kati ya Simba au Yanga, lakini kuna jambo moja…
