Mhariri Mkuu Gazeti la Xinmin la China Atembelea Global Group
MHARIRI Mkuu wa gazeti la XINMIN EVENING NEWS la China, Dr Justin Qiu leo ametembelea ofisi za Global Group zilizopo Sinza-Mori jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujifunza mambo mbalimbali yanayofanyika katika ofisi hizo.…
