Sepp Blatter na Michael Platini Wakutwa Hawana Hatia, ni Baada ya Kesi yao Kusikilizwa kwa Siku 11
Sepp Baltter na Michael Platini wakizungumza jambo kwenye moja ya mikutano yao enzi za uongozi wao
RAIS wa zamani wa FIFA Sepp Blatter na rais wa zamani wa UEFA Michel Platini wote waliondolewa mashtaka ya rushwa yaliyokuwa…
