#GlobalCelebrities: Trey Songz Azungumzia Kuoa, Mapenzi na Nicki Minaj + Diss Track Ya Remmy Ma…
Kwa wale wafuatiliaji wa muziki wa R&B superstaa Trey Songz, album yake ya saba Tremaine tayari imeshatoka na inagusa vitu muhimu vya maisha yake binafsi ikiwemo suala ya yeye kuoa na lini.
Trey Songz ameachia album yake ya saba…
