×

Tag: mikasa

Aliyenaswa wizi wa watoto atoa kioja kortini

BAADA ya mwishoni mwa mwaka jana kunaswa kwa wizi wa watoto wawili jijini Mbeya, Hawa Ally Mkalipa (40), mkazi wa...

READ MORE

MC Olivia adaiwa kula Rambi rambi za Anna Zambi

DAR: Ukisikia yeleuuwiii maana yake ni habari ya kushtua; kama hii ya mshereheshaji (MC) maarufu jijini Dar, Olivia Karumuna ‘MC...

READ MORE

TIMBWILI LAIBUKA KANISA KATOLIKI

HALI ya utulivu bado ni tete kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Mikaeli, Kawe, jijini Dar es Salaam, baada ya...

READ MORE

Tendo la Ndoa Lazua Tafrani Bakwata

NDOA usiichukulie poa ina sarakasi nyingi; kama hii ya mke na mume kufikishana Baraza la Waislam Tanzania (Bakwata) Wilaya ya...

READ MORE

Mama aua mwanaye kwa kipigo

INASIKITISHA! Mama mzazi wa Salome Pius Kahela (13) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Iyela,...

READ MORE

MTOTO WA MIAKA 10 AJITAHIRI KWA KISU

Mvulana wa miaka 10 mkazi wa kijiji cha Itare nchini Kenya amejitahiri kwa kutumia kisu  baada ya wazazi wake kushindwa...

READ MORE

Madai ya Kuazima Vyombo… Mama Asuta Mtaa Mzima – Video

USWAHILINI kuna vituko! Mama mmoja anayejulikana kwa jina la Mama Shamira Mkazi wa Jeti Lumo Mtaa wa Masizi jijini Dar...

READ MORE

NYUMBA YA URITHI YAZUA BALAA

MSONDO Ngoma Music Band waliona mbali walipotoa wimbo wa Kilio cha Mtu Mzima, ambapo mashairi yake yanasema hivi:  “Tunatoana roho...

READ MORE

Kimenuka! Kigogo, Diwani CCM Watoleana Siri za Chumbani

  UKISIKIA kimenuka; jua hali ya hewa imechafuka na kweli ndivyo ilivyo kwa kigogo mmoja na diwani wa Chama Cha...

READ MORE

Mbwa 300 Kukutwa Nyumba Ya Serikali Dar… Giza Nene Latanda

GIZA limeendelea kutanda kufuatia mbwa wapatao 300 na paka kadhaa kukutwa hivi karibuni ndani ya nyumba ya serikali eneo la...

READ MORE

Kizaazaa! Wataka Kutoana Roho Kisa Mali za Urithi – Video

Kizaazaa kimeibuka baina ya wanafamilia wakiwa nagombania mali za urithi…fuatilia mkasa huu kupitia Global Tv online na usisahau kubonyeza batani...

READ MORE

Balaa la Mchepuko Mke Afunga Mtaa, Azua Timbwili, Adai Talaka!

DAR: Balaa la mchepuko linapokuzukia kwenye ndoa yako, weee! Lisikie hivyohivyo, usiombe likutokee kama kijana Hamza Imam lilivyomtia aibu mtaani. ...

READ MORE

Aanika Siri za Chumbani za Mume wa Mtu… Asutwa!

PWANIVituko haviishi duniani! Mkazi wa Vikindu mkoani Pwani anayetajwa kwa jina moja la Shamila ametamani ardhi ipasuke aingie baada ya...

READ MORE

AZIMIA AKIMUOMBA PENZI MUME WA MTU!

NANI kasema wanawake hawawezi kuwatongoza wanaume? Mjini Morogoro mwanamke mmoja (jina halikupatikana) amejikuta akizimia wakati akimuomba penzi mume wa mtu. ...

READ MORE

MAITI YACHUNWA NGOZI MOCHWARI

SISI hatuhusiki waulizeni wale! Ndivyo Jeshi la Polisi mkoani Singida na uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wanavyotupiana mpira...

READ MORE

Mwalimu mbaroni ubakaji wa mwanafunzi ofisini

JESHI la polisi Mkoa wa Mara limemkamata mwalimu wa Shule ya Msingi ya Bwai A, Lazaro Mmanga, kwa tuhuma za...

READ MORE

Paka wa Ajabu Azua Tafrani Mjumbe

UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya firauni! Paka wa ajabu amezua taharuki si ya nchi hii nyumbani kwa mjumbe wa nyumba...

READ MORE

Inauma Sana! Baba Akatwa Ulimi, Ateseka

HAKIKA hujafa, hujaumbika! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia habari hii ya baba aliyefahamika kwa jina la Salim Mohammed mkazi wa Tuangoma...

READ MORE

Mrembo Bongo Mwenye Ukimwi Ashitua!

UKIKUTANA na mrembo Doreen Odemba, akakuambia anaishi na virusi vya Ukimwi unaweza kukataa mpaka pale atakapoamua kukuonyesha cheti chake, lakini...

READ MORE

Mateso100% Binti adai KULAZWA KWENYE BANDA LA KUKU

PWANI: Mateso asilimia 100! Ndivyo walivyozungumza majirani wakati wakielezea tukio la binti anayedawa kulazwa kwenye banda la kuku, Amani linakushushia...

READ MORE

Madai Mazito Msanii Amuua Mwenzake Wakigombania Maiki

DAR ES SALAAM: Madai mazito; ndivyo unavyoweza kusema baada ya msanii wa Bongo Fleva aliyetajwa kwa jina moja la Daud...

READ MORE

Watoto Watoweka, Wakutwa Wamekufa

TUKIO la hivi karibuni lililoibua hofu kubwa ni la watoto wawili wa familia mbili wa Kijiji cha Nyamhela, Kata ya...

READ MORE

Waliokufa ajali ya moto Moro… UTATA WAIBUKA!

  WAKATI tume iliyoundwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ikisubiriwa kutoa majibu ya kuwepo au kutokuwepo kwa uzembe kwa mamlaka...

READ MORE

 Mtoto Ajinyonga Akisonga Ugali

MTOTO aliyejulikana kwa jina la Maria Saidi Mtengwa (16) mkazi wa Salasala jijini Dar amekatisha uhai wake kwa kujinyonga kikatili...

READ MORE

Baada ya kifo cha Sir Chande BOSI MPYA FREEMASON BONGO ashangaza

MASHARTI ya kumuona bosi mpya wa Jumuiya ya Freemason Tanzania na Afrika Mashariki ambaye amechukua mikoba ya aliyekuwa kiongozi kabla...

READ MORE

ANASWA WIZI WA MTOTO MCHANGA

AIBU! Mwanamke mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, Mkazi wa Urambo mkoani Tabora amenaswa kwa wizi wa mtoto mchanga. ...

READ MORE

MADAI MAZITO MUME ACHOMA NYUMBA KUPOZA HASIRA!

MWANAUME mmoja aliyefamika kwa jina la ‘Mlawa’ mkazi wa Kizani, Gezaulole jijini Dar amedaiwa kuchoma nyumba yake na kupoza hasira...

READ MORE

UBAKAJI WATIKISA DAR WANAWAKE WACHARUKIA POLISI, WASEMA: TUMECHOKA!

TUMECHOKA! Ndivyo walivyosikika kundi kubwa la wanawake ambao wameandamana kupinga tukio lililowatikisa la ubakaji wa binti wa miaka 16 anayedaiwa...

READ MORE

MSHTUKO MUME ADAI MADAKTARI KUUA MKEWE NA MTOTO

MSHTUKO! Chrispine Mtuta, mkazi wa Mbezi- Kwembe jijini Dar, ameibuka na tuhuma nzito za kushtua kwamba, madaktari wamechangia kifo cha...

READ MORE

VIDEO: UTATA! KIFO cha MAMA Na MWANAE, Mume, Dada WASIMULIA Mazito!

Ni majonzi na vilio vimetawala kwa familia ya marehemu, Pauline Patrick, aliyefariki saa chache baada ya mwanae kufariki… Global TV...

READ MORE

MADAKTARI WAKWAA SKENDO

HUJAFA hujaumbika ni msemo wa Kiswahili wenye tafsiri ya maisha ya kiumbe na maumbile yake halisi aliyoumbwa na Mwenyezi Mungu...

READ MORE

VIDEO-BIBI AFANYIWA UTAPELI, AMLILIA RAIS MAGUFULI!

DAR ES SALAAM: Ni stori ya kusikitisha ambayo inamhusu bibi aitwaye Mwanahawa Mshamu Ngomari ambaye anadai kutapeliwa nyumba yake iliyopo...

READ MORE

MWANAKWAYA AMUUA MWANAKWAYA MWENZAKE

KABLA tukio la kusikitisha la Naomi Marijani, mkazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam, kudaiwa kuuawa na mumewe kisha mwili...

READ MORE

DENTI ATEKWA KIMAFIA, BABA YAKE ASIMULIA – VIDEO

  HUU ni zaidi ya umafia! Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Mnazi Mmoja jijini Dar, mwenye umri wa miaka 16...

READ MORE

SANGOMA MASHAROBARO WATIKISA

DAR ES SALAAM: VIJANA watano waliotajwa kuwa ni waganga wa kienyeji ‘sangoma’ tena masharobaro wameutikisa mji wa Morogoro baada ya...

READ MORE

MAUZA UZA PAKA WA AJABU ATIKISA NYUMBANI KWA MSANII

UKISIKIA neno mauzauza maana yake ni hali ya ovyoovyo isiyotambulikana; hii ndiyo imedaiwa kuletwa na paka wa ajabu nyumbani kwa...

READ MORE

MAMA ALALA NA NYOKA SIKU 14

MAMA mmoja aliyefahamika kwa jina la Asha Mohammed mkazi wa Boko Chama jijini Dar amejikuta katika mateso mazito kufuatia kupooza...

READ MORE

MWANAMKE MBARONI MAUAJI YA MJESHI!

KIMEWAKA ile mbaya! Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limefanya msako mkali kisha kuwatia mbaroni watuhumiwa kadhaa akiwepo mwanamke mmoja...

READ MORE

FREEMASON, UCHAWI VYATEKA MAKANISA BONGO

DAR ES SALAAM: SIKU za mwisho watatokea manabii wengi wa uongo! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na maandiko yaliyopo kwenye Biblia...

READ MORE

MSANII APIGWA MIMBA YATOKA

DAR ES SALAAM: MAMBO mengine yanatafakarisha! Hivi inawezekanaje umkataze mtu atukane halafu ageuke mbogo na baadaye kukushushia kipigo hadi ujauzito...

READ MORE