Bikosports yampa bonasi ya sh. Mil 5 mkazi wa Kigamboni
MKAZI wa Kigamboni, jijini Dar es Salaam, Salum Juma, ameibuka kidedea baada ya kukabidhiwa Sh Milioni 5 kutoka kampuni ya michezo ya kubashiri matokeo ya bikosports, baada ya mdau huyo wa michezo ya kubahatisha…
