Umetoa/ umedai talaka, mimi nitakuweza?
Ni siku nyingine tena kwa upendo wa Mungu tunakutana katika safu yetu ya XXLove kwa ajili ya kuzungumza maisha ya kila siku ya uhusiano.
Katika mada ya leo nitazungumzia baadhi ya wapenzi ambao wanakuwa kwenye uhusiano lakini wakati huohuo…
