×

Tag: Mishahara

Majaliwa: Kutangaza Nyongeza ya Mishahara Kunaongeza Gharama za Maisha

WAZIRI mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema kutangaza nyongeza ya mishahara ya wafanyakazi hadharani hakuna tija...

READ MORE

Messi Akubali Kukatwa Mshahara Barca

MASTAA wa Barcelona wakiongozwa na Lionel Messi wamekubaliana na klabu hiyo kukubali kupunguziwa mishahara yao ambayo inathamani kiasi cha pauni...

READ MORE

Watumishi Wasio na TIN Namba Hatarini Kukosa Mshahara

MKURUGENZI wa Elimu kwa Mlipa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo, amesema serikali imetangaza kuwa mfanyakazi ambaye...

READ MORE

ABBAS: RAIS MAGUFULI HAKUTOA AHADI YA KUONGEZA MISHAHARA – VIDEO

Mkurugenzi Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr Hassan Abbas, amefafanua kwamba Rais John Magufuli hakuzungumzia masuala...

READ MORE

ACT- WAMJIBU RAIS MAGUFULI ISHU YA KUTOONGEZA MISHAHARA

  CHAMA cha Act-Wazalendo kimesikitishwa  na kauli ya Rais Magufuli aliyoitoa jana kwenye ufunguzi wa mkutano wa Jumuiya ya Tawala...

READ MORE

Tanzania Yatajwa Kwenye Orodha ya Nchi Zenye Mishahara Mikubwa Afrika

Shirika la Numbeo limetoa orodha ya nchi kumi zenye mishahara mikubwa zaidi barani Afrika. Hili ni shirika kubwa zaidi duniani la...

READ MORE

Nani Aliyepanga Mishahara Hadi Sh. Mil 40 Kwa Mwezi?

MIONGONI mwa mambo ambayo Rais Magufuli anastahili kupongezwa na Watanzania waadilifu – bila kujali ‘kambi’ zao  – ni ujasiri wake...

READ MORE