Jaji Mkuu: Awataka Watanzania Kubadili Mitazamo Kuhusu Katiba
JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma ametoa wito kwa Watanzania kubadili mtazamo kwanza badala ya kutaka mabadiliko ya Katiba na Sheria kabla ya kupima vifungu vilivyopo kama vinatekelezeka na kuleta matokeo bora…
