Albamu Mpya, Harmonize Kuangusha Balaa Mlimani City Leo
MSANII wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul Kahali, maarufu kwa jina la Harmonize, ameweka wazi kuwa anaachia album yake mpya leo Jumamosi, Machi 14, 2020, inayoitwa 'Afro East' ambayo ina ngoma 18.
Harmonize amesema kati ya…
