Mlinzi akata roho gesti!
Polisi akiupiga picha mwili wa marehemu.
SIMANZI! Ramadhan Mohamed Duku (52), mkazi wa Mji Mpya mjini hapa amekutwa akiwa amekufa kwenye nyumba ya kulala wageni (gesti) aliyokuwa akiilinda hivyo kuibua taharuki kubwa kwa wateja…
