Straika Simba Aomba Barua Asepe
MSHAMBULIAJI wa Simba, Jamal Mnyate, ameomba barua kwa uongozi wa timu hiyo itakayomruhusu kuondoka na kwenda kwenye klabu nyingine kucheza soka.
Awali, kulikuwepo na taarifa za mshambuliaji huyo kuwepo kwenye orodha ya…
