×

Tag: mo dewji

Simba Watambulisha ‘Jembe jipya’ Onana kutoka Cameroon

Rasmi uongozi wa Simba Sports Club, umemtambulisha mchezaji wao mpya Willy Essomba Onana(23) , ambaye amesajiliwa ili kuongeza nguvu katika...

READ MORE

Muziki wa Simba Mpya Usipime, Mo Dewji Hataki Masihara, Heshima Itarudi Msimu Ujao

  SIMBA mpya mbona mtapigwa sana! Hiyo ni baada ya Simba kuweka wazi kuwa watafanya usajili ambao utawafanya msimu ujao...

READ MORE

MO Dewji Aanza na Pacha wa Inonga Simba Akitokea Cape Town City ya Afrika Kusini

  INAELEZWA kuwa, Rais wa Heshima wa Simba, ambaye pia ni mwekezaji wa klabu hiyo, Mohamed Dewji ‘Mo’, ameingilia usajili...

READ MORE

Try Again Ajinadi, Adai Simba Inajipanga Upya Kufanya Vizuri Msimu Ujao

SALIM ABDALLAH maarufu ‘Try Again’ Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba ambaye amefunguka mengi juu ya timu...

READ MORE

Mo Dewji: Najivunia Kuwekeza Simba, Tupo Nafasi Ya 12 Afrika

Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba Mohammed Dewji kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema kwa miaka mitano iliyopita ya...

READ MORE

Ahmed Ally Aishiwa Maneno Baada Ya Kutinga Dar Usiku, Ataja Ujumbe Wa Mo Dewji.. -Video

 Simba SC wamewasili Dar wakitokea Mwanza baada ya kuchezea kichapo cha goli moja na Yanga katika mchezo wao wa...

READ MORE

Mo Dewji Aitisha Kikao cha Ghafla Simba Kueleka Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports

  KUELEKEA mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports kati ya Yanga dhidi ya Simba, Rais...

READ MORE

Mo Dewji: Kuwekeza Simba kwa Sasa ni Hasara

MWEKEZAJI katika Klabu ya Simba, Mohammed Dewji amesema kilicho mpeleka kambini leo ni mapenzi yake kwa Simba na amekutana na...

READ MORE

Mo afanya jambo Simba

BAADA ya Simba kuanza msimu huu kwa matokeo yasiyoridhisha, klabu hiyo imeamua kuunda kamati ya vigogo watatu ambao watakuwa maalum...

READ MORE

Mo Dewji Aachia Ngazi Simba – Video

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba ambaye pia ni mwekezaji wa Klabu hiyo, Mohammed Dewji ‘Mo’ ametangaza...

READ MORE

Mo Awapa Mtihani Mzito Mastaa Simba

KUELEKEA mchezo wa leo dhidi ya Yanga, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ amewapa mtihani mzito...

READ MORE

Mo Aimaliza Yanga SC Mapema tu

BAADA ya kikao kizito kilichofanyika kati ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’, Mtendaji wa Klabu,...

READ MORE

Ifahamu Sababu ya Mo Dewji Kutohudhuria msiba wa Hans Pope

WAKATI viongozi wa Simba na wanachama pamoja na wadau mbalimbali wakiaga mwili wa aliyekuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba,...

READ MORE

MO Ampa Maagizo Mazito Gomes

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Mohammed Dewji ‘MO’ amempa maagizo mazito kocha mkuu wa klabu hiyo Mfaransa, Didier...

READ MORE

Chidi Benz: Riziki Anatoa Mungu Sio Mo Wala Barbara

Rapa Chidi Benz King Kong ameshea comment yake kwa Haji Manara baada ya kumaliza ‘press’ yake na waandishi wa habari...

READ MORE

Video: Mo Dewji Aweka Bilioni 20 Simba, Afunguka Usajili Mpya

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Klabu ya Simba, Mohamed Dewji,’Mo’ leo Julai 30, 2021 amekabidhi mfano wa hudni...

READ MORE

Video: Mo Dewji Asimulia Alivyotekwa – “Waliniwekea Bastola, Nilihisi Nakufa”…

Mfanyabiashara Mohamed Dewji ‘MO Dewji’ Julai 24, 2021 amekutana na waandishi wa habari kuzungumza kuhusu maendeleo ya Foundation yake, sasa...

READ MORE

Mo Dewji Ampa Shavu Mondi

Mfanyabiashara na bilionea maarufu Bongo, Mohamed Dewji amempongeza Msanii machachari wa Bongofleva, Naseeb Abdul, ‘Diamond Platnumz’ kwa kuteuliwa kuwania tuzo...

READ MORE

Shaffih Amvaa Mazima Mo Dewji “Punguza Munkari”

ANAADIKA Shaffih Dauda……   nikizifuatilia sana Tweet za MO Dewji ambaye ni Kiongozi wa Simba, nikiri wazi kuna Tweets zingine...

READ MORE

Mo Dewji Afunguka Kipigo cha Simba

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Mohamed Dewji ameeleza kupiga chini mpango wake wa kujizawadia magari aina ya Ferarri...

READ MORE

Mo Dewji Asitisha Kununua Ferrari na Rolls-Royce

BAADA ya kipigo kizito dhidi ya Kaizer Chiefs, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Mohammed Dewji leo Mei 16,...

READ MORE

Mo Dewji Afunguka Mapya Kisa mabadiliko Simba

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ ameamua kuvunja ukimya kuhusu mchakato wa mabadiliko ya...

READ MORE

Ufafanuzi Kuhusu Utata wa Kauli ya MO Dewji

MJUMBE wa bodi ya wakurugenzi wa kampuni ya klabu ya Simba, Mulami Ng’ambi amefafanua ujumbe wa mkurugenzi wake wa bodi,...

READ MORE

Mo Dewji: Sitamvumilia Atakayenivunjia Heshima

MFANYABIASHARA na Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Bilionea Mohammed Dewji ‘Mo’,  amesema mwaka 2021 hatAwavumilia wale wote wanaotoa lugha za...

READ MORE

Mo Awachokoza Yanga SC

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, bilionea Mohammed Dewji ‘Mo’, ni kama amepiga kijembe kwa watani wao wa jadi,...

READ MORE

Kiungo Mpya Simba Atengewa Mil 300

TAARIFA kutoka ndani ya Klabu ya Simba zinasema kuwa, uongozi wa klabu hiyo umetenga zaidi ya Sh milioni 300 kwa...

READ MORE

Serikali Yamkana Mo, Manara, Sakata Mabadiliko Simba

SUALA la mabadiliko ndani ya Simba limeleta sura mpya baada ya Serikali kujibu mapigo ya viongozi wa klabu hiyo ambao...

READ MORE

Mo Aleta Kifaa Kipya Simba SC

  MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’, ameleta kifaa kipya kutoka nje ya nchi...

READ MORE

Mo Atenga Mamilioni ya Ubingwa CAF

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’, amesema kuwa ameandaa bajeti kubwa ya fedha itakayowawezesha kufi ka...

READ MORE

Mchakato Mabadiliko Simba Watua FCC – Video

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Mohammed Dewji amefafanua hatua iliyofikia timu mpaka sasa katika swala zima la...

READ MORE

Mo Dewji Amaliza Utata Chama na Mukoko

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba Mohammed Dewji, amethibitisha kuwa mchezaji Clatous Chama, amesaini mkataba wa miaka...

READ MORE

Mo Ajibu Mapigo, Aweka mil 120

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, bilionea, Mohammed Dewji ‘Mo’ naye jana usiku alivamia kambi ya timu hiyo na...

READ MORE

Kigwangalla Akoleza Bil. 20 za Simba Akimtaja Mo

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla, amesema hana tofauti wala chuki na Mwenyekiti wa Bodi ya Klabu ya...

READ MORE

Dewji Amfanyia Hili Shabiki wa Simba Aliyechaniwa Jezi…

  MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba Mo Dewji ametimiza ahadi yake ya kumtafuta shabiki wa Klabu...

READ MORE

Mo Dewji Amsaka Shabiki Aliyechaniwa Jezi Uwanjani

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba, Mohamed Dewji,  anamsaka shabiki wa Simba aliyechaniwa jezi yake na watu...

READ MORE

Mo Dewji: Yanga Wamesajili Majembe!

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’, amesema wapinzani wao Yanga na Azam nao wamefanya usajili mzuri,...

READ MORE

Wanaodaiwa Kumteka Mo Dewji, Kesi Yafikia Hapa – Video

MUSA TWALIBU mkazi wa jijini Dar es Salaam,  anayekabiliwa na kesi ya tuhuma ya kumteka mfanyabiashara, Mohamed Dewji Mo,  ameieleza...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa WikiEnda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la CHAMPIONI na Gazeti la Ijumaa WikiEnda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania...

READ MORE

Kisa mabilioni ya GSM, Mo Aanza Kufuru

BILIONEA wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’, ameanza kufuru mpya na safari hii ameanza na jaribio la matajiri wa Yanga Kampuni...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Amani kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la SpotiXtra na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania kwa...

READ MORE