Majibu ya Gigy Money Kuhusu Kurudiana na Mo Jay
MSANII Gigy Money amejibu madai ya taarifa za kurudiana na mzazi mwenzie Mo Jay baada ya kuonekana wakiwa pamoja na mtoto wao Mayra.
Gigy Money amekanusha hilo kwenye 'Insta Story' yake kwa kueleza hajarudiana na mtu hivyo…
