Moto wa Chelsea Usipime, Yaichapa Bournemouth 3-0, Pedro Akiweka Mbili Kambani
KLABU YA Chelsea imezidikujikita kileleni mwa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) baada ya jana kuichapa Klabu ya Bournemouth bao 3-0 na kujikusanyia pointi 46 mbele ya Manchester City wenye pointi 39.
Mbali na kuwakosa ma-straika wao…
