
Browsing Tag
Mpaka Home
MPAKA HOME: Maisha halisi ya Papaa Mafido, Hajiwezi kwa Wema Sepetu – VIDEO
Katika kipindi cha MPAKA HOME Wiki tumemtembelea Mkali wa vichekesho, Papa Mafido, anayeishi Sinza na kupiga nae stori mbili tatu kuhusiana na kazi yake ya uchekeshaji ambayo kwa sasa imekuwa na ushindani mkubwa.
MPAKA HOME: Maisha Halisi ya Mtoto Mai Zumo na Wazazi Wake – VIDEO
Katika kipindi cha Mpaka Home wiki hii tumemtembelea Muigizaji wa vichekesho ambaye ana trend sana kwa sasa Uncle Zumo ambaye ni baba mzazi wa mtoto mai ambaye nae ni tishio mjini kwa kuchekesha licha ya kuwa na umri mdogo.
Uncle Zumo na…
MPAKA HOME: Maisha Halisi ya Q BOY “Bora Diamond Hajamzika baba Kiba” – VIDEO
Katika kipindi cha Mpaka Home wiki hii tumemtembelea Mwanamuziki na mbunifu wa mavazi, Q Boy Msafi, anayeishi Sinza Mori na tumekuoneshea maisha yake halisi kuanzia nje ya nyumba anayoishi mpaka ndani.
MPAKA HOME: Maisha Halisi ya PEMBE, Ana Watoto 10! – VIDEO
Katika kipindi cha Mpaka Home wiki hii tumeibuka maeneo ya Yombo Buza jijini Dar nyumbani kwa Msanii Mkongwe wa Vichekesho anayeitwa Pembe.
Pembe ambaye anaishi na mke wake na watoto 10, amefunguka mambo mengi kuhusiana na kazi yake ya…
MPAKA HOME: Maisha Halisi ya BECKA TITLE wa B.O.B Micharazo – Video
Mpaka Home wiki hii tumemuibukia Mkali wa RNB Bongo, Becka Title, ambaye amenga'ra zaidi kupitia kundi lao la BOB Micharazo linaloongozwa na Mr Blue.
Becka Title ambaye anaishi maeneo ya Kinondoni Studio kwenye mjengo wake…
MPAKA HOME: Haya Ndo’ Maisha Halisi ya Mwinjaku – Video
GOOD NEWS: Kwa watazamaji wa Global TV na wapenzi wa kipindi cha 'MPAKA HOME', msimu wa kwanza wa kipindi hichi umemalizika na kwa sasa msimu wa pili umeanza upya na utakuwa ukikuletea maisha halisi wanayoishi mastaa wetu wa Bongo kutoka…
MPAKA HOME: MUME WA MAREHEMU RECHO HAULE ATOBOA SIRI NZITO (VIDEO)
MUME wa aliyekuwa msanii wa filamu za Kibongo, marehemu Recho Haule, Saguda George amefunguka siri nzito juu ya maisha yake na aliyekuwa mkewe huyo.
Katika mahojiano na kipindi bora kabisa cha Mpaka Home, Saguda ameanika mengi…
Nana Gum: Najisikia Huru Kula Kwa Mama Lishe
MAMBO vipi mpenzi msomaji wangu wa Mpaka Home, kama ilivyo kawaida ya safu hii ni kutinga majumbani kwa mastaa mbalimbali na kuyaibua maisha yao halisi ya kila siku.
Wiki hii tumemtembelea mwanamuziki anayekuja…
MPAKA HOME YAZUA KASHESHE ‘BEI MBAYA’ KWA ESHA BUHETI! (GLOBAL TV ONLINE)
KIPINDI kinachozidi kujizolea umaarufu mkubwa cha Mpaka Home kinachorushwa kila wiki kupitia channel hii namba moja, wiki hii kilikumbana na kasheshe kubwa, baada ya kumvamia msanii mkongwe, Esha Salim Kaombwe Buheti ‘Mtata’, usiku wa…
Mpaka Home: Haya Ndiyo Maisha Halisi ya Yusuf Mlela
KAMA kawa, kama dawa, kila Jumamosi katika safu hii ya Mpaka Home tunakuletea maisha ya staa mmoja wa Kibongo anapokuwa kinyumbani zaidi nje ya fani yake.
Wiki hii Mpaka Home imetinga nyumbani kwa staa wa kiume wa sinema za…
Zipompa: Kulala na Kuchati Ndiyo Ugonjwa Wangu
STORI NA WAANDISHI WETU | RISASI JUMAMOSI | MPAKA HOME
MAMBO vipi mpenzi msomaji wa safu hii ya Mpaka Home, kama ilivyo kawaida ya kila Jumamosi huwa tunakuletea mastaa mbalimbali ambao wanaonesha maisha yao ya nyumbani…
Mpaka Home: Nicole Apata Kigugumizi Kumzungumzia MC Pilipili
NA MAYASA MARIWATA | RISASI JUMAMOSI| MPAKA HOME
KAMA ilivyo kawaida ya kolamu hii ya Mpaka Home kuwatembelea mastaa mbalimbali na kuangalia wanavyoishi majumbani mwao, leo tumefika kwa msanii wa filamu za Kibongo, Nicole Franklyn…
Esha Buhet: Mimba Imeongeza Mahabati Kwa Mume
IMELDA MTEMA -0713 612533 | RISASI JUMAMOSI |MPAKA HOME
MAMBO vipi mpenzi msomaji wangu wa safu hii tamu ya Mpaka Home, kazi yangu hapa ni moja tu, kuhakikisha kila wiki namtembelea staa mmoja na…
Vanitha: Mume Wangu kwa Mchemsho, Hajambo!
Na Imelda Mtema | RISASI JUMAMOSI | MPAKA HOME
Mambo vipi mpenzi msomaji wangu wa safu hii ya Mpaka Home? Kama ilivyo kawaida, tunatinga kwenye nyumba za mastaa mbalimbali Bongo na kuyaibua maisha yao halisi ya kila siku wanayoishi…
Flora Lauwo: Dada wa Kazi Hagusi Nguo za Mume Wangu
STORI: IMELDA MTEMA | RISASI JUMAMOSI| MPAKA HOME
ANAITWA Flora Godwin Lauwo. Kwa wale wanaomsoma leo kwa mara ya kwanza, Flora ni mtangazaji maarufu wa Kipindi cha Flora Shoo kinachoshughulika na watu maarufu na kutangaza urembo.…
Sister Fay Sipendezi Nikivaa Nguo za kike
Na IMELDA MTEMA| RISASI JUMAMOSI| MPAKA HOME
MAMBO vipi mpenzi msomaji wangu, kama kawaida kila wiki ndani ya safu hii maridhawa ya Mpaka Home ni kuwatembelea mastaa mbalimbali majumbani mwao na kufanya nao mahojiano. Leo tunaye…
Video: Haya Ndiyo Maisha Halisi ya Harmorapa na Mpenzi Wake
MPAKA HOME: Msanii chipukizi anayekuja kwa kasi kwenye gemu la muziki wa kizazi kipya Bongo, Harmorapa aliyejipatia umaarufu kutokana na kufanana na msanii kutoka WCB, Harmonize, ameyaanika maisha yake ya kila siku na mpenzi wake 'Wolper'…
Mpaka Home: Haya Ndiyo Maisha Halisi ya Jacob Mbuya wa Clouds TV, Asema Hajui Kupika
Makala: Imelda Mtema, Gazeti la Risasi Jumamosi, Toleo la Desemba 31, 2016
MPAKA Home inafunga mwaka leo. Inafunga na Mtangazaji na Mtayarishaji wa Kipindi cha Sports Extra cha Clouds TV, Jacob Mbuya. Yeye anaishi maeneo ya Kimara Mwisho…
Sholo Mwamba Fundi Wa Kukaangiza, Mtaalam Wa Singeli
Staa wa Muziki wa Singeli, Sholo Mwamba akiwa nyumbani kwake Bahari Beach, Kunduchi jijini Dar ambapo kwenye mjengo huo aliopanga, anaishi peke yake.https://www.youtube.com/watch?v=vWiLjVIAL8cAkiwa anachati na mashabiki zake katika…
Lulu Diva: ‘Mgonjwa’ Wa Kioo (Mpaka Home)
Muuza sura kwenye video za Kibongo, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ akiwa nyumbani kwake Mitaa ya Kinondoni Vijana jijini Dar.Na Imelda MtemaMAMBO vipi mpenzi msomaji wa Mpaka Home? Spidi ni ileile 120 ya kukupa fursa ya kuweza kuwafahamu…