Hatimaye Mrisho Aanza Kuvaa Viatu “Nimeitwa Mchawi”
MSANII wa tungo za mashairi hapa nchini Mrisho Mpoto maarufu kama "Mjomba", ameposti picha mtandaoni ikimuonesha amevaa viatu huku akiwauliza mashabiki zake iwapo aendelee kuvaa viatu au abaki kutembea peku kama ambavyo amekuwa akifanya…
