×

Tag: Mzee Majuto

Baba Mkwe wa Majuto: Walidai Urithi Hospital Kabla Hajafa – Video

Kufuatia madai ya Mke wa Marehemu, Mzee Majuto, kufukuzwa na kukataliwa kutunzwa na familia ya marehemu hususani Watoto wakubwa wa...

READ MORE

WEMA: MAJUTO AMEONDOKA NA NDOTO YANGU !

MUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu amefunguka kuwa nguli wa filamu za vichekesho marehemu Amri Athuman ‘King Majuto’ amefariki...

READ MORE

MZEE MAJUTO AZIKWA SHAMBANI KWAKE TANGA (PICHA+VIDEO)

ALIYEKUWA msanii wa filamu nchini, Amri Athumani ‘King Majuto’, amezikwa leo shambani kwake Kiruku, mkoani Tanga, ambapo viongozi wa serikali,...

READ MORE

MKUU WA MKOA WA TANGA AFIKA KUMZIKA MAJUTO (PICHA +VIDEO)

MWILI  wa aliyekuwa msanii gwiji wa filamu nchini, Amri Athumani ‘King Majuto’,  unatarajiwa kuzikwa leo mkoani Tanga katika shamba lake...

READ MORE

Alichokisema JOTI Kuhusu Mzee MAJUTO -Video

Msanii mahiri wa vichekesho nchini, Joti, amesema kuwa Marehemu Mzee Majuto alikuwa akiwasisitiza sana wafanye kazi bila ya kujivuna na...

READ MORE

TANGA: Majirani Wamlilia Mzee MAJUTO – Video

 Global TV imezungumza na baadhi ya majirani wa Amri Athumani ‘Mzee Majuto’ jijini Tanga ambao kwa kiasi kubwa wameonesha...

READ MORE

Mwili wa Mzee Majuto Ulivyopokewa Tanga (Picha+Video)

MAMIA ya waombolezaji jijini Tanga wamejitokeza kupokea mwili wa aliyekuwa mwigizaji nguli wa vichekesho nchini, Amri Athumani ‘Mzee Majuto’,  aliyefariki...

READ MORE

Video: Alichokisema Mke wa Majuto Kuhusu Kifo cha Mumewe

 Bi Aisha Yusuph, mke wa Marehemu Mzee Majuto, amefunguka kuhusu kifo cha mumewe huku akieleza kwamba tatizo la kisukari...

READ MORE

Wasanii Wauaga Mwili wa Mzee Majuto Karimjee (Picha + Video)

MAMIA ya waombolezaji wamejitokeza katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam kuaga mwili wa aliyekuwa muigizaji nguli wa vichekesho...

READ MORE

Rais Magufuli Aongoza Mamia Kuaga Mwili wa Majuto, Dar

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo amewaongoza mamia ya wananchi kuaga mwili wa aliyekuwa Msanii...

READ MORE

Kuagwa kwa King Majuto, Majonzi & Vilio Vyatawala (Picha +Video)

 MAMIA ya waombolezaji wamejitokeza katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam kuaga mwili wa aliyekuwa muigizaji nguli wa...

READ MORE

Mwili wa Majuto Wapelekwa Karimjee Kuagwa -Picha

MWILI wa marehemu Amri Athumani Majuto ukitolewa  katika msikiti wa Masjid Maamur, Upanga, jijini Dar es Salaam na kupelekwa viwanja...

READ MORE

Mwili wa Majuto Watolewa Mochwari Muhimbili – Video

MWILI wa marehemu Amri Athumani Majuto umetolewa katika Hospitali ya Muhimbili na kupelekwa katika msikiti wa Masjid Maamur, Upanga,  jijini...

READ MORE

Mzee MajutoAlazwa Tena ICU Muhimbili

MUIGIZAJI nguli nchini Tanzania, Amri Athuman maarufu kama Mzee Majuto amelazwa tena katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospitali...

READ MORE

MZEE MAJUTO MUNGU MKUBWA – VIDEO

MUNGU mkubwa! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kusikia habari njema kuwa, mchekeshaji Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ au ‘King Majuto’...

READ MORE

MZEE MAJUTO: Niombeeni Jamani, Tezi Dume Si Mchezo!

MKONGWE wa filamu za Kibongo aliye kipenzi cha wengi, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ ambaye kwa sasa ni mgonjwa ametoa ya...

READ MORE

Mzee Majuto Ampa Tano Ngubilu

KOMEDIANI lejendari Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ amesema kuwa mwaka 2018 ameibuka kivingine baada ya kujikita kwenye sinema za action...

READ MORE

Wasiojulikana Wataka Kumuua Mzee Majuto!

  TAKRIBAN siku 10 baada ya kudai kutapeliwa milioni 25 na kampuni moja ya filamu (jina linahifadhiwa) mbele ya Waziri...

READ MORE

Mzee Majuto, Snura Anakuchafua au Unajichafua Mwenyewe?

NI ukosefu wa heshima kwa mtu yeyote wa burudani, hasa za filamu za vichekesho, kutotambua uwezo wa muigizaji huyu bora...

READ MORE

CHECHE ZA MZEE CHEKECHE, KIJANA WA ZAMANI!

ANAITWA Chekeche, hana cheti cha kuzaliwa, lakini inaaminika kuwa wakati Vita ya Pili ya Dunia inaendelea, Chekeche alikuwako. Wengine huenda...

READ MORE

VIDEO: Mzee Majuto Awajibu Waliomzushia Kifo, Tazama Video Hii

Msanii Mkongwe wa filamu na uchekeshaji Amri Athumani amekanusha uvumi unaoendelea kuwa amefariki dunia na kuhakikisha kuwa yupo vizuri kiafaya...

READ MORE

KWA HALI ALIYO NAYO… DUA ZENU KWA MZEE MAJUTO

  MWEZI Mei, mwaka huu, gazeti ndugu la hili, Ijumaa Wikienda liliripoti habari mbaya juu ya lejendari wa vichekesho Bongo,...

READ MORE

Tumuombeeni Mzee Majuto!

Stori: Brighton Masalu | IJUMAA WIKIENDA DAR ES SALAAM: Tumuombeeni! Lejendari wa vichekesho Bongo, Amri Athman ‘Mzee Majuto’ yu taaban...

READ MORE