Nape: Sina Akauti yoyote ya mtandao wa kijamii inayofanya kazi kwa sasa
MBUNGE wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye ameutahadharisha Umma wa watanzania kwamba hana akauti yoyote ya mtandao wa kijamii inayofanya kazi kwa sasa (iliyo-active).
Nape amelazimika kutoa ufafanuzi huu kutokana na kuibuka kwa akaunti…
