Geita Gold Waapa Kuifunga Simba, Nahodha Wao Asema Hawata Wadharau
KLABU ya Geita Gold yenye makazi yake mjini Geita inaenda kushusha karata yake ya kwanza katika mchezo ya ligi kuu dhidi ya klabu ya simba.
Mchezo huo unaonekana kwenda kuwa mgumu kutokana na timu zote mbili kuwa na kiwango…
