EU Yalaani Kunyongwa kwa Bondia Navid
UMOJA wa Ulaya (EU) umeungana na jamii ya kimataifa kulaani mauaji ya kikatili dhidi ya mwanamasumbwi wa Iran, Navid Afkari. Umoja huo umesema adhabu hiyo ya kifo ni ya kikatili na isiyo ya kibinadamu na kuwa umoja huo unapinga mauaji…
