Serikali Yamjibu Lissu Madai ya Bombadier Kushikiliwa Kisa Madeni
Kufuatia madai mazito yaliyotolewa na Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki na mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwamba ndege ya serikali aina ya Bombadier iliyotakiwa kutua nchini mwezi Juni,…
