Wadau wa Championi Waendeleza Mzuka wa Kusepa na Ndinga – Video
VIJANA wa siku hizi wanasema, mambo ni yente kila kona ya nchi kufuatia kushika kasi kwa promosheni namba moja kwa sasa Tanzania, nazungumzia bahati nasibu ya chomoka na gari mpya aina ya Toyota FunCargo inayoendeshwa na Magazeti Bora…
