SHEHE MKUU – “Ndoa ya Amber Rutty Mmh…/ Aliingiliwa Kinyume na huyo Mume”
SIKU chache baada ya mwanamuziki, Amber Rutty, kufunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi anayeitwa Davil, Global TV imemtafuta Shehe Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Musa Salim, na kumuuliza utaratibu wa kidini kuhusiana na suala zima…
