Familia Yathibitisha Nemes Tarimo Kufia Vitani Nchini Ukraine, Yafunguka – Video
Taarifa za kifo cha Raia wa Tanzania, Nemes Tarimo, zilisambaa pamoja na video ikionesha akiwa anaagwa kwa heshima na vikosi vya jeshi nchini Urusi.
Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa Tarimo, alikamatwa kwa kesi ya dawa za kulevya…
