Umeinyaka Hii ya Birdman wa CashMoney Kutua Tanzania?
TAARIFA iliyotufikia kwenye dawadi letu la GlobalHabariUpdates ni kwamba, Rapper na Producer maarufu wa Marekani Bryan Williams 'Birdman' wa Kundi la CashMoney ambaye wakali wengi wa muziki wa Marekani wamepitia kwenye mikono yake…
