Nguli wa Muziki wa Pop Duniani, George Michael Afariki Dunia
MWANAMUZIKI nguli mwenye asili ya Uingereza, ambaye alijizolea umaarufu mnamo miaka ya 1980 na kuwika ulimwenguni kutokana na mtindo muziki wake wa mahadhi ya Pop, amefariki dunia jana Desemba 25, 2016 akiwa na umri wa miaka 53, nyumbani…
