Top Marapa Bongo Walioweka Alama na Kutoweka Duniani!
Kama taifa, Mungu alitupendelea sana kutupa vichwa ambavyo vilifanya poa sana kwenye muziki wa Hip Hop Bongo. Lakini kwa mipango yake Mungu, wapo marapa ambao waliweka alama kubwa sana kwenye muziki wa Hip Hop Bongo kisha wakafariki…
