Nikki wa Pili Ampa Makavu Dogo Janja
STAA wa Hip Hop Bongo, Nickson Simon ‘Nikki wa Pili’, amempa makavu msanii mwenzake, Abdulaziz Aboubakar Chende ‘Dogo Janja’ kwa kumweleza kuwa anatakiwa kujitambua kwani amekua hivyo ni wakati wa kutathmini maisha yake na kuachana na…
