Kila nimpataye ananiacha solemba, nifanyeje?
Anti Liz, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, nimeanza kujitegemea, naishi Bungoni jijini Dar es Salaam na rafiki yangu ninayefanya naye kazi katika kampuni moja.
Kilichonifanya niombe ushauri wako ni tatizo la kukimbiwa na kila…
