Nilifanya Mapenzi na Maiti 20 Nitajirike-22
Baada ya kukaa na kumfikiria sana Majeed, nikajilaza kitandani ambapo nikapitiwa na usingizi, nilipokuja kushtuka, tayari ilikuwa asubuhi. Nikatoka kitandani na kwenda kuoga bafuni, nilikaa katika sinki kubwa huku nikijimwagia maji…
