Mtoto wa Rais Ateuliwa Kuwa Msaidizi wa Rais
MTOTO mkubwa wa kiume wa Rais Ali Bongo wa Gabon, Noureddin Bongo Valentin ameteuliwa kuwa mratibu wa masuala yote ya Rais.
Noureddin ameteuliwa katika nafasi hiyo ili kumsaidia Rais katika masuala yote ya kitaifa. Nafasi hiyo ya…
